Na Editha Karlo,Kigoma.

WATU tisa wamefariki  baada ya boti la abiria kuzama  katika ziwa Tanganyika, Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi MARTIN  OTTIENO amethibitisha.

Kamanda Otieno amesema ajali hiyo imetokea  katika eneo la Rasini na kusema kuwa Boti  iitwalo "Mv Nzeimana"  inalofanya safari zake kati ya Kijiji cha Sibwesa na Ikola  limezama  ikiwa na abiria 60, ambapo abiria 51 wameokolewa.

Aidha Kamanda OTTIENO amesema chanzo cha ajali hiyo ni upepo mkali uliosababisha boti hilo kukosa muelekeo na hatimaye kupinduka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...