
Mjasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo kikuu cha mabasi Feri wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Mjasiriamali akiandaa Chapati kama anayoonekana pichani
Mjasiriamali akindaa vifaa vyake baada ya kulalizi vitafunwa.
Majasiriamali wakiendelea na kazi kamainavyo onekana pichani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...