Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Wabunge, kutoka kushoto ni Mbunge wa Lulindi Jerome Bwanausi na
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...