Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo, Mwalimu Philipo Boneventure (kushoto) na Meneja wa Wakala wa MajengoTBA mkoani Kagera, Mhandisi Salum Chanzi (WA tatu kushoto) alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo. 
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandika akizungumza jambo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo Boneventure (kulia ) na Meneja wa Wakala wa Majengo TBA, Mhandisi Chanzi mkoani Kagera alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo. 
Muonekano wa nyumba mpya za walimu wa Sekondari ya Ihungo mkoani Kagera zinazojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...