Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara na Viongozi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam alipowasili katika Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es salaam leo
Juni 20,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa CCM
Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt.
John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika kipindi chake cha
Uongozi.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la
Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika kipindi chake cha
Uongozi. kongamano hilo linafanyikaleo Juni 20,2020 katika Ukumbi wa
Urafiki Jijini Dar es salaam.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana Msanii wa kizazi kipya Abdulazizi Abubakari
Chende (Dogo Janja) leo Juni 20,2020 katika Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar
es salaam, baada ya kutuimbuiza kwenye ufunguzi wa kongamano la Umoja
wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye lengo la
kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya
katika kipindi chake cha Uongozi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...