Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Dar
es Salaam alipowasili katika Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilala
Jijini Dar es Salaam leo Juni 27,2020 kwa ajili ya mkutano wa majumuisho
ya ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akizungumza jambo na Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Zakaria Mwasasu wakati wa mkutano wa Majumuisho ya ziara yake ya
Kichama Mkoa wa Dar es Salaam kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya
Mkoa wa Dar es Salaam leo Juni 27,2020 katika Ukumbi wa Halmashauri ya
Wilaya Ilala Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salam.


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa
akizungumza nao kwenye mkutano wa Majumuisho ya ziara yake ya Kichama ya
Mkoa wa Dar es Salaam leo Juni 27,2020 katika Ukumbi wa Halmashauri ya
Wilaya Ilala Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salam.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa
wa Dar es Salaam wakati wa majumuisho ya ziara yake ya Kichama Mkoa wa
Dar es Salaam leo Juni 27,2020 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya
Ilala Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salam. kulia katibu wa CCM Mkoa wa Dar
es Salaam Zakaria Mwasasu, kushoto Mjumbe wa NEC Mkoa Dar es Salaam
Abdul Majid Nassor.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...