Aliyekuwa mjumbe
wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Samora Julius
Mwanyonga, akirudisha kadi yake kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya
kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni
27,2020 wakati wa majumuisho ya ziara ya Makamu wa Rais Kichama Mkoa wa
Dar es Salaam yaliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya
Ilala Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...