Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili
katika ukumbi mdogo wa SUZA Tunguu leo Juni 30,2020. Makamu wa Rais yupo
katika ziara ya Kichama Mkoa wa kusini Unguja.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi mdogo wa
SUZA Tunguu leo Juni 30,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya
Kichama Mkoa wa kusini Unguja.



Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
MKoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika
ukumbi mdogo wa SUZA Tunguu leo Juni 30,2020. Makamu wa Rais yupo katika
ziara ya Kichama Mkoa wa kusini Unguja.
(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...