Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa
na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo alipowasili katika Ofisi ya
Mkuu wa Wilaya Ubungo leo Juni 25,2020 kwa ajili ya kuzungumza na
Wajumbe wa Kamati Siasa na Sekretarieti ya CCM. Makamu wa Rais yupo
katika ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.


Wajumbe wa Kamati ya Siasa na
Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Ubungo Jijini Dar es Salaam leo Juni 25,2020. Makamu wa Rais yupo katika
ziara ya Kichama Jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na
Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam leo Juni
25,2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...