SIKU muhimu sana pale Stamford Bridge! Hii ni mechi ambayo inaweza kutupa jibu la nani bingwa katika Ligi Kuu ya Uingereza. Bila shaka, Man City bado wanataka kuwakwamisha Liverpool, watahitaji kukamilisha kibarua hiki kigumu kwa kusepa na ushindi kutoka wapinzani wao wa London.

Unachopaswa kufahamu, hapa Meridianbet kuna idadi kubwa sana ya odds zinazoisubiri mechi hii. Matokeo mengine yeyote zaidi ya Man City kushinda ina maana baada ya miaka 30 ya kusubiri, hatimaye Anfield wanapokea taji. Chelesa hawatataka kufunikwa wakiwa nyumbani, watapambana vilivyo kujiongezea gepu la pointi dhidi ya mpinzani wake aliyepo nafasi ya 5 kujihakikishia nafasi yao katika Ligi ya Mabingwa.

Macho yote ya wapenzi wa soka la Uingereza, hasa mashabiki wa Liverpool, yalikuwa yakitazama Man City alichomfanya Burnley, matokeo yalikuwa yaliwafurahisha sana wazee wa mikeka.

Meridianbet inakupa maana tofauti kabisa ya Double Bet, ili tiketi yako iweze kushinda - unahitaji kupatia moja tu kati ya bashiri zako mbili. Unganisha matokeo ya mwisho na idadi ya magoli na ujitengenezee nafasi ya kushinda.

Kuna sababu kibao za kujisajili sasa na Meridianbet.co.tz kisha endelea kujilipa na soka la Uingereza kwa staili yako Unapata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuanzia 5000 wa kuweka pesa kwenye akaunti tako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...