Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma,
Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi,
Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki akizungumza na Mbunge wa Kilolo,
Venance Mwamoto, Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...