Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa ameongozana na wasimamizi wa
mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga kwa lengo la
kukagua maendeleo ya mradi huo.

Meneja wa Kiwanda
cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga Bw. Masoud Omari (wa pili kulia)
akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.
Jenista Mhagama alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha
bidhaa za Ngozi cha Karanga, Mkoani Kilimanjaro.

Mhandisi wa
Mradi, Mrakibu wa Magereza James Sukambi (kulia) akimuonesha mpaka wa
eneo la kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama.

Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiangalia pamoja na Wasimamizi wa
mradi ramani ya eneo la ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha
Karanga kilichopo Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na dereva wa Katapira
Bw. George Michael alipokuwa akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa
kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga, Moshi Mkoani Kilimanjaro. PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)
OWM – KVAU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...