
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akipongezwa na Wabunge baada ya kuwasilishwa Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2020/2021, bungeni jijini Dodoma

Katibu Mkuu wa
Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, (wa tatu kushoto) na Wakuu
wa Taasisi, Idara wa Wizara hiyo na Viongozi wengine wa Serikali
wakisikiliza kwa makini hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh. trilioni
34.9 kwa mwaka wa fedha 2020/2021, bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2020/2021, bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa amenyanyua mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali, ya mwaka 2020/2021 bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha bungeni jijini Dodoma Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2020/2021.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) na Mkewe, Bi. Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2020/2021, bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha
na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto) na
Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa tatu kushoto) wakiwa katika
picha ya pamoja na Wakuu wa Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara
hiyo baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Serikali
kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2020/2021, Bungeni
jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...