Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Paramagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia , Profesa Joyce Ndalichako (katikati), Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, nje ya jengo la Bunge jijini Dodoma, Juni 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...