UPANUZI WA UJENZI WA GATI UNAOENDLEA KATIKA BANDARI YA MTWARA
MITAMBO YA KUCHAKATA GESI YA MADIMBA MTWARA UNAOPELEKA UMEME KATIKA MJI WA MTWARA MIKINDANI.
HOSPITALI YA RUFAA YA KUSINI YA MITEGO ILIYOPO PEMBEZONI MWA BAHARI YA HINDI KATIKA LANGO LA BAHARI LA MTWARA MIKINDANI .
BARABARA ZA LAMI ZINAZOUNGANISHA MKOA WA MTWARA NA MIKOA MINGINE KUKAMILISHA UKANDA MAALUM WA UCHUMI WA MTWARA CORRIDOR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...