Msajili wa Hazina, Athumani
Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa
Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu
Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya
ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za
Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam.

Msajili wa Hazina, Athumani
Mbuttuka akimkabidhi Kamishna wa Maadili , Jaji Mstaafu Harold Nsekela
Taarifa ya Mwaka ya Msajili wa Hazina kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Ofisi ya Msajili wa Hazina
wakati wa kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya kuimarisha
ushirikiano kati ya ofisi hizo.

Msajili wa Hazina, Athumani
Mbuttuka (Katikati) na Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu Harold Nsekela
(kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Ofisi
hizo baada ya kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya kuimarisha
ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao kilichofanyika jana Juni 18, 2020
katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam.

Msajili wa Hazina, Athumani
Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa
Maadili, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha
ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18,
2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es Salaam.(PICHA ZOTE KWA HISANI YA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...