Mkurugenzi wa Kitengo cha
Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa
zilizotolewa na Benki ya NMB Dodoma, aliyekabidhi vifaa hivyo ni Meneja
wa Kanda wa benki hiyo Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha
ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo
walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002 Jijini
Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha
Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja
akipokea moja ya saa zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB
Bw. Nsolo Mlozi ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200
Juni 19, 2002 Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha
Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja
akitoa neno la shukrani kwa Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo
Mlozi mara baada ya kupokea vifaa kwa ajili ya Ofisi.

Mkurugenzi wa Kitengo cha
Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa
zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ikiwa
ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri
Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002.

Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...