HABARI njema kwa wale wapenzi wa kasino bomba za mezani pamoja na gemu za kurusha dice, hii Barbut kwa sasa inapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Gemu hii ina mambo mengi mazuri ya kihistoria ambayo ina asili ya Mashariki ya Kati ikiwa na sheria rahisi sana za uchezaji. Ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridian na ujaribu bahati yako iliyopo mkononi mwako!
Pale unapofungua gemu unakutana na vidokezo vizuri sana vikiwa na mapambo ya rangi ya zambarau kwa nyuma yake, ambavyo vinaleta amsha amsha za enzi za kale kule Mashariki. Upande wa kulia wa kioo kuna dice mbili, ambazo zipo kwenye uwanja wa kuchezea wakati upande wa kushoto una uwanja wa kubetia na kuweka mikeka.
Kufurahia mchezo huu mtamu unahitaji kiwango cha chini cha TSHs 1,500 na unaweza kuingia kibabe kwa kuweka dau kubwa kabisa la mpaka TSHs 500,000. Mchezo wa Barbut unafanyika kwa die mbili. Kidokezo kikubwa ni kwamba kuna aina mbili za mikeka: juu na chini, inayofahamika zaidi kama Shooter na Fader, au Front au Back. Unaweza kucheza mojawapo ya aina hizo za uchaguzi wa mikeka ama hizo zote.
Baada ya kila mchezo kuwa umeshachezwa, inawezekana ukabadili hali ya mkeka wako kimpangilio. Mkeka wa juu yake unakuwa umesahihishwa kwa kutumia sheria hizi hapa:
- Endapo ukishinda 3: 3, 5: 5, 5: 6, dau lako linazidishwa mara mbili.
- Endapo ukipata 6: 6 dau lako linalipwa kwa 50%.
- Endapo ukipata 1: 1, 2: 2, 4: 4 au 1: 2 unakuwa umepoteza mkeka wako.
- Ukipata muunganiko mwingineo, unacheza tena.
Mnyumbuliko wa mkeka unakuwa kama huu ufuatao:
1. Endapo ukishinda 2: 2, 4: 4, 1: 2, mikeka inalipwa mara mbili.
2. Endapo ukishinda 1: 1, dau lako linalipwa kwa 50%.
3. Endapo ukipata 3: 3, 5: 5, 6: 6 or 5: 6, unakuwa umepoteza mkeka wako.
4. Ukishinda mkeka wa aina nyingineyo, unacheza kwa mara nyingine.
Jaribu sasa, zungusha dice na uone ni kwa namna gani mambo hayo ya kale yalidumu kwa miaka mingi - Barbut na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, muunganiko bomba sana!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...