Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na
Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji
wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe
Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua maji kwenye eneo
la mradi wa Kibamba -Kisarawe mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi
huo mkubwa.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishika maji ya bomba mara
baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mkoani
Pwani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa
Kibamba-Kisarawe mkoani Pwani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua bomba kwa pamoja
na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa,
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso,
Mtendaji Mkuu wa Dawasa Eng. Cyprian Luhemeja, Mwenyekiti wa Bodi ya
Dawasa Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wafanyakazi wa
Dawasa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Mkutano mara baada ya
kuzindua mradi wa maji wa Kibamba Kisarawe uliogharimu kiasi cha
Shilingi bilioni 10.6.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakati wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Dawasa Eng. Cyprian
Luhemeja wakati alipokuwa akitoa maelezo ya miradi mbalimbali ya Maji
katika mkoa wa Dar es Salaam na Kisarawe mkoani Pwani. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...