Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia
na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus
Fella, akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya
Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na
Idara za serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo,
Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.

Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia
na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus
Fella (Wa kwanza Kulia) akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia
Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa
Sheria wa Wizara na Idara za Serikali kwa ajili ya kupendekeza
marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.

Kamishna Msaidizi wa Magereza,
Kitengo Cha Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya
Usafirishaji Binadamu, Ahmed Mwen-dadi (Aliyesimama) akifafanua jambo
kuhusu Mwenendo na Jitihada za kukabiliana na Biashara Haramu katika
Kikao na Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za Serikali kwa ajili ya
kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini
Dodoma leo.

Afisa Mwandamizi, Kitengo Cha
Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji
Binadamu, Alex Lupilya (Aliyesimama) akielezea mafanikio yaliyopatikana
kupitia Sekretarieti ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa
Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za Serikali
kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho
kimefanyika, Jijini Dodoma leo.

Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara
za Serikali wakimsikiliza, Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na
Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella
(hayupo pichani) alipokuwa akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia
Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau hao

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...