MWENYEKITI wa Wawawakilishi
Wanawake Zanzibar (UWAWAZA) ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma akitowa pongeza kwa Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kwa ushirikiano wake kikamilifu katika
shughuli za maendeleo mbalimbali zikiwemo za Kijamii.(Picha na Ikulu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...