Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo
Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani). baada ya kumuapisha kuwa Mkuu
mpya wa Wilaya ya Wete Pemba katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini
Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo
Dk.Juma Malik Akil kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango
Zanzibar mara baada ya kumuapisha rasmi katika hafla iliyofanyika leo
Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Juma Malik Akil
kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar katika hafla
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkuu mpya wa
Wilaya ya Wete Pemba Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani). katika hafla
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Viongozi
walioteuliwa na Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Kamanda Mohamed Mussa Seif ambae ni Mkuu mpya wa Wilaya ya
Wete Pemba na Dk.Juma Malik Akil Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya
Mipango Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzinar
kabla ya kuapishwa leo, [Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Pichani kushoto Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Fedha na
Mipango Mhe.Mohamed ramia Abdiwaa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria
katika hafla ya Kiapo kwa Viongozi walioteuliwa Ikulu Mjin Zanzibar
leo,[Picha na Ikulu] 24/06/2020.

Mkuu mpya wa Wilaya ya Wete Pemba Kamanda Mohamed Mussa Seif (Mkobani).

Viongozi mbali mbali waliohudhuria
katika hafla ya kuwapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla
iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu]
24/06/2020

Dk.Juma Malik Akil Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...