Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini
Mkoa wa Mwanza na Sheikhe wa Mkoa, Alhaji Sheikh Hasani Kabeke,
akizungumza na waandishi wa habari jana.Kulia ni Mwenyekiti Mwenza wa
kamati hiyo Askofu Charles Sekelwa na wa tatu kutoka kushoto ni Katibu
Mwenza wa kamati hiyo Askofu Zenobius Isaya.
Viongozi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano
na waandishi wa habari jijini Mwanza jana wakati wakitoa tamko l
kumpongeza Rais John Magufuli kwa uongozi wake uliowezesha kutekelezwa
miradi mingi ya maendeleo..
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza
na Sheikhe wa Mkoa, Alhaji Sheikh Hasani Kabeke, akisistiza jambo
kwenye mkutano na waandishi wa habari jana.Kulia ni Mwenyekiti Mwenza
wa kamati hiyo Askofu Charles Sekelwa na wa tatu kutoka kushoto ni
Katibu Mwenza wa kamati hiyo Askofu Zenobius Isaya wa pili kushoto ni
Katibu Mweza pia Ramadhani Chanila.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...