Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi
la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi
na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara
hiyo, jijini Dodoma, leo. Kulia Meza Kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,
Christophere Kadio.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto) akisoma taarifa ya Kikao cha Tume ya Jeshi
la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi
na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, kilichofanyika katika
Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Christopher Kadio

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto meza kuu) akimsikiliza Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Christopher Kadio (kulia meza kuu), alipokuwa anafafanua
jambo katika Kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji
inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika
Majeshi hayo. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,
jijini Dodoma, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
George Simbachawene (kushoto meza kuu), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,
Christopher Kadio (kulia meza kuu), wakiwa na Wajumbe wa Kikao cha Tume
ya Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya
Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, kilichofanyika
katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...