
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani
Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Baadhi ya wananchi wa kijiji cha
Mbekenyera wilayani Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipozungumza nao kijijini hapo, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi
Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...