Aliyekuwa mbunge wa monduli kupitia CCM Julius Kalanga amerejesha fomu yake katika ofisi za kata Wilaya ya Monduli.
Kalanga amekuwa mbunge wa Monduli kwa miaka 5 alichukua fomu July 15 na kuirejesha July 16 kusubiri utaratibu ndani ya chama chake.
Katika kipindi chake ameweza kuhakikisha Jimbo Hilo linaweza kupata Maendeleo katika sekta ya Maji,Nishati,Afya na Elimu.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...