Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Arusha Bi.Kabula Juma Sukwa amejitokeza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama Cha Mapinduzi kumteua kugombea nafasi Ubunge Viti Maalum wanawake kupitia Chama hicho ndani ya Umoja wa Wananwake Ccm (UWT).
Mtia Nia Ubunge Viti Maalum kupitia kundi la Wanawake UWT Kabula Sukwa akisikiliza Maelekezo kwa Katibu wa UWT mkoa wa Arusha.
mtia Nia kwa tiketi Ccm ambaye Ni Kada wa chama hicho Saitoti Sitton Saibull naye amejitokeza kuweza kuchukua fomu Jimbo la Arusha Mjini kuomba ridhaa ya chama chake kumteua kuwa mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini.(Picha zote na Ashura Mohamed -Arusha)
Mtia Nia Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Arusha Mjini ambaye pia Ni Mwandishi wa habari Victor K.Moshi akiwa na katibu wa Ccm Wilaya ya Arusha Mjini Deus Mwita wakati zoezi la Uchukuaji fomu ndani ya chama hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...