Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika ofisi za CCM wilaya ya Missenyi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea ubunge katika jimbo la Nkenge,Mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Balozi
Dk. Diodorus Buberwa Kamala akionesha fomu yake ya kugombea Ubunge jimbo la Nkenge,mara baada ya kukabidhiwa katika ofisi za CCM wilaya ya
Missenyi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...