Kada wa Chama cha Mapinduzi Onesti Male akipokea Fomu kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini Miriam Kaaya za kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi
Mtia nia ya Ubunge jimbo la Vunjo akisalimiana na Classmet wake nje ya ofisi za CCM wilaya ya Moshi Vijijini mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo la Vunjo.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Vunjo ,Onesti Male akionesha fomu zake mara baada ya kuchukua katika ofisi za CCM wilaya ya Moshi .


Na Dixon Busagaga ,Moshi ..

Kada wa Chama cha Mapinduzi Onesti Male amesema mwaka huu utabili unaenda kutimia baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia Chama cha Mapinduzi .

Male ambaye ni mfanyabiashara na Mkufunzi amezungumza muda mfupi baada ya kutoka ofisi za Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi kutimiza takwa la kwanza la katiba ya CCM la kwenda kuchukua fomu kuijaza na kuirudisha .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...