Maafisa
wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), (kulia) Meneja
Mikopo Kanda ya Ziwa, Usama Choka na Afisa Mikopo Winfrida Wumbe pamoja
na Jonathan Nkwambi (kushoto) wakizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Mary
walipofika shuleni hapo jana alhamisi (Julai 30,2020) kutoa elimu kuhusu
mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Afisa
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida
Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo
iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo
wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo
yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida
Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo
iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo
wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo
yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma wakifuatilia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu matumizi ya mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika shuleni hapo jana Alhamisi Julai 30, 2020).
Mwanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari
Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Fransisca Massawe akiuliza
swali wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji
mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni
jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Mwanafunzi
wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo
Mkoani Kigoma, Mwanakombo Abeid akiuliza swali wakati wa utoaji elimu ya
mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya
juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan
Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo
iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo
wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo
yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya
Kibondo Mkoani Kigoma wakifuatilia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu
matumizi ya mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika shuleni hapo jana Alhamisi Julai
30, 2020).
Meneja
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Kanda ya
Ziwa, Usama Choka akifafanua jambo kwa Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari
Bogwe iliyopo Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, David Kindanda muda mfupi
kabla ya
utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa
wanafunzi wa elimu ya juu yaliyofanyika shuleni hapo jana alhamisi
(Julai 30, 2020).
Afisa
Mikopo wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) Jonathan Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari
Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma, wakati wa
utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi
wa elimu ya juu, Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai
30, 2020).
Mhitimu wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Bogwe
iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, Bravius Katabalwa akiuliza swali
akiuliza swali wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa
uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Winfrida
Wumbe (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya Watendaji wa sekta
ya elimu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma mara baada ya kumalizika kwa
mafunzo ya elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa
elimu ya juu shuleni hapo jana alhamisi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...