Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
leo ameshiriki kwenye Bazara la Eid El Hajj lililofanyika katika ukumbi
wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa
wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimaina na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimaina na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa ambae pia ni
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa CCM Dkt. Hussein Mwinyi, baada ya
kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa
Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa
Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimaina na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid
El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya
Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, wakiangalia Maulid nje ya ukumbi wa Mitihani wa Shule ya
Sekondari Bumbwini baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika leo katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari
Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...