KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiwasha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu baada ya kulipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo. Kushoto ni dereva Hassan Omar. (Picha na CCM)

 KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiendesha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo. (Picha na CCM)


  KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. (Picha na CCM)
KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kulipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi. (Picha na CCM)
 GARI maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi ikiingia katika Ukumbi Jakaya Kikwete baada ya kulipokea na Katibu Mkuu CCM, Dk. Bahiru Ally, Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. (Picha na CCM)
KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akisalimiana na dereva Hassan Omar wa gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi. (Picha na CCM)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...