Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera muda mfupi baada ya kusimikwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi leo Julai 06,2020 kwenye Sherehe iliyofanyika katika Kambi ya Jeshi ya Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kamuzu Nchini Malawi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa Malawi  Mhe. Lazarus Chakwera  leo Julai 06,2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...