Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)  na Mfanyabiashara maarufu nchini,Joshua Nyari,akirejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kupeperusha bendera katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu,Jimbo la Arumeru Magharibi.Anayepokea fomu ni Katibu wa CCM,Wilaya ya Arumeru ,Hamisa Chacha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...