Leo Mchana katika Ofisi kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa DSM Katibu Mkuu wa UWT mkoa wa DSM, akimpatia fomu mgombea Ubunge Viti Maalum nafasi ya NGO Bi. Fatuma Abdallah Kange. Bi Fatuma Kange ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya GS1 Tanzania anahudumia maendeleo ya viwanda vidogo na vya kati.
Home
HABARI
TAARIFA
MKURUGENZI MTENDAJI TAASISI YA GSI FATUMA ABDALLAH KANGE AJITOSHA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE VITI MAALUM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...