Mwanasheria wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA) Philipo Philikunjombe akirudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Ludewa kwa katibu wa wa CCM Philipo Philikunjombe
Aliyekuwa mbunge wa Ludewa Deo Ngalawa akisaini kitabu cha wagombea wanaorudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Ludewa
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Ngalawa akirudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo hilo kwa katibu wa CCM Bakari Mfaume
Mfanyabiashara Andru Kuyeyana akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Ludewa kwa katibu wa CCM Bakari Mfaume
Deogratius Nchimbi akirudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Ludewa kwa Katibu wa CCM Bakari Mfaume
Mwanasheria Mwandamizi wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) akisaini kitabu cha wagombea wanaorudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi hiyo.
Captain Jacob Mpangala akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Ludewa kwa Katibu wa CCM Bakari Mfaume
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...