Mwenyekiti wa Tume ya
Utumishi wa Umma, Jaji (mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana (kulia) akiongoza Mkutano
wa Tume (leo) unaofanyika jijini Dar es Salaam kutolea uamuzi wa Rufaa na
Malalamiko ya watumishi wa umma yaliyowasilishwa Tume. Kushoto kwake ni
Makamishna wa Tume, Mhe. George Yambesi, Mhe. Balozi (mstaafu) John Haule na
Mhe. Balozi (mstaafu) Daniel Ole Njoolay. (Picha na PSC).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...