Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa wakati akitoka katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma mara baada ya kuongoza vikao vya Kamati ya Usalama na Maadili pamoja na Kamati Kuu leo tarehe 09 Julai 2020. PICHA NA IKULU

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama cha Mapinduzi CCM kumkumbuka aliyewahi kuwa Waziri katika Baraza la kwanza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Julius Nyerere Marehemu Balozi  Job Lusinde aliyefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika leo tarehe 09 Julai 2020 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika leo tarehe 09 Julai 2020 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba Wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla kuanza kwa Kikao hicho cha Kamati Kuu kilichofanyika leo tarehe 09 Julai 2020 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM jijiji Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...