RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la  Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaaf Mhe. John Samuel Malecela, alipofika nyumbani kwa marehemu Balozi  Mstaaf Job LusindeUzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020  kutowa mkono wa pole kwa familia.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Marehemu Balozi Mstaaf  Job Lusinde, alipofika nyumbani kwa Marehemu Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020, (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpa mkpono wa pole Mke wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lisinde Bi. Sara Lusinde, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Uzunguzi Jijini Dodoma tare 10/7/2020 kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa heshima ya kwa mwili wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela,(Picha na Ikulu) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...