RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na familia ya Marehemu Haji Nassib Haji (Nyanya) alipofika nyumba kwa marehemu bububu kwa nyanya alipofika kutowa mkono wa pole kwa Familia  (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na aliyejifunika kanga Mjane wa  Marehemu Bi.Zainab Nyanya.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ya kumuombea Marehemu Mzee Haji Nassib Haji Nyanya na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Wanafamilia wakiitikia dua, alipofika kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu nyumbani kwake Bububu kwa Nyanya.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...