Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwaklibasi, Wasaidizi wake, Wakimbizi na Mashirika ya Kuhudumia Wakimbizi wakijumuika kusherekea mwitikio mkubwa wa Wakimbizi kukubali kurejea kwao Burundi wakati wa uhamasishaji urejeaji kwa hiari. Karibu Wakimbizi wote katika Kambi ya Mtendeli wameonesha utayari  

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi, akizungumza na Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika Kambi ya wakimbizi ya Mtendeli Mkoani Kigoma wakati wa zoezi la Kampeni ya kuhamasisha Wakimbizi kurejea kwenye Nchi zao za Asili baada ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika Jana Mkoani Kigoma.
Kamishna wa Polisi, Nsato Marijani, ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Usimamizi wa Makambi na Makazi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi akiwahamasisha Wakimbizi wa Burundi wanaoishi Kambi ya Mtendeli kurejea Nchini kwao kwa hiari baada ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika jana Mkoani Kigoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Sheria na Hifadhi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Numbilya Mpolo, akiwahamasisha Wakimbizi wa Burundi wanaoishi Kambi ya Mtendeli kurejea Nchini kwao kwa hiari baada ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika jana mkoani Kigoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Usalama na Oparesheni Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Kanali Maisha Rajabu, akiwahamasisha Wakimbizi wa Burundi wanaoishi Kambi ya Mtendeli kurejea Nchini kwao kwa hiari baada ya Amani na Usalama kurejea katika Nchi yao. Zoezi hilo limefanyika jana mkoani Kigoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwaklibasi, Wasaidizi wake, Wakimbizi na Mashirika ya Kuhudumia Wakimbizi wakijumuika kusherekea mwitikio mkubwa wa Wakimbizi kukubali kurejea kwao Burundi wakati wa uhamasishaji urejeaji kwa hiari. Karibu Wakimbizi wote katika Kambi ya Mtendeli wameonesha utayari    

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...