Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwashukuru wazee wa wilaya na
Nachingwea baada ya kupokea risiti ya malipo ya shilingi Laki moja
walizozitoa kwa ajili ya kumchangia, Rais Dkt. John Magufuli katika
kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, kwa kutambua mchango mkubwa katika
kuiletea Tanzania maendeleo. Tukio hilo lilifanyika kwenye uwanja wa
Ndege wa Nachingwea wakati Waziri Mkuu alipowasili akiwa jiani kwenda
Ruangwa, Julai 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mzee Hamis Kambona (wapili
kutoka kushoto) wakati akipokea mchango wa Shilingi laki moja kutoka
kwa wazee wa wilaya na Nachingwea kwa ajili ya kumchangia, Rais Dkt.
John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, kwa kutambua
mchango mkubwa katika kuiletea Tanzania maendeleo. Tukio hilo
lilifanyika kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea wakati Waziri Mkuu
alipowasili akiwa jiani kwenda Ruangwa, Julai 13, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...