Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la Mpanda
Plaza ambalo ni kitegauchumi cha Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), mjini
Mpanda, Julai 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano
na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kushoto ni Mkuu wa Mkoa
wa Katavi Juma Homela na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dkt.
Maulid Banyani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jengo
la Mpanda Palaza ambalo ni kitegauchumi cha Shirika la Taifa la Nyumba
(NHC) limezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Mpanda, Julai
4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...