Wajasiriamali wa biashara ya Matunda katika eneo la kariakoo wilaya Ilala jijini Dar es salaam wakiwahudumia wateja wake kama wanavyooneka pichani.
Mjasiriamali wa biashara ya Genge katika eneo la njiapanda ya Makabe wilaya Ubungo jijini Dar es salaam akiwahudumia wateja wake kama anavyooneka pichani.
Bei ya Mapapai katika hapo ni kati ya Sh.1000 hadi Sh.3000
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
(Picha na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)
Bei ya 'Apple' ni shlingi 500.hadi 1000 katika kituo kikuu cha mabasi kigamboni jijini Dar es Salaam.
Bei ya 'Apple' ni shlingi 500.hadi 1000 katika kituo kikuu cha mabasi kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mjasiriamali wa biashara ya Genge katika eneo la njiapanda ya Makabe wilaya Ubungo jijini Dar es salaam akiwahudumia wateja wake kama anavyooneka pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...