WAKIZUNGUMZA na Michuzi Tv leo jijini Dar es Salaam wafanyabiashara hao wameeleeza kuwa hali iko shwari kibiashara na matunda yanauzika, wateja wao wamekuwa wakipita sokoni hapo kujipatia matuda mbalimbali kuligana na mahitaji yao.
Wafanyabiashara wa matunda katika soko la Simu 2000 wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam akimhudumia mteja kama wanavyooneka pichani. ambapo Bei ya Ndizi ni Sh 100 hadi Sh. 150
Wafanyabiashara wa matunda katika soko la Simu 2000 wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam akimhudumia mteja kama wanavyooneka pichani. ambapo Bei ya Ndizi ni Sh 100 hadi Sh. 150
Bei ya Tikitiki maji leo ni Sh 1000 hadi Sh. 4500.
Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...