Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akihutubia Wanawake Vijana kwenye Kongamano la Tamasha la nguvu
ya Mwanamke (GIRL POWER) mwaka 2020 lililofanyika leo Agost 02, 2020
katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...