BARAZA la Mitihani la Taifa nchini (NECTA) leo Agosti 21, limetangaza matokeo ya kidato cha sita huku ufaulu ukiongezeka ukilinganisha na mwaka uliopita.
Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar leo, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema kuwa, shule za Serikali zimefaulu zaidi kuliko shule binafsi ambapo shule nane bora kati ya kumi ni shule za Serikali.
Shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni shule ya Serikali ya Kisimiri ya jijini Arusha, ikifuatiwa na Kembos ya Mara na na Ahmes, Pwani.
BOFYA HAPA KUONA MATOKEA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...