Kutoka Kushoto; Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) wakiwa katika Mkutano Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliokuwa ukiendelea kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing).
Wajumbe wa Mkutano wakifuatilia wa Mkutano Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliokuwa ukiendelea kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing).
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akifuatilia Mkutano wa Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Masahariki uliokuwa ukiendelea
Kutoka Kushoto; Mkurugenzi wa Siasa, Ulinzi na Usalama Mhe. Balozi Stephen Mbundi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary M. Mwanjelwa (Mb) wakiwa katika Mkutano Maalum wa 41 uliokuwa ukiendelea kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing).
Mkutano ukiendelea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...