Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na
viongozi wa Serikali, Mashirika na Wadau wa Maendeleo katika Mkutano wa
Kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu
Duniani, uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, jijini Dodoma, leo. Ili
kudhibiti biashara hiyo haramu nchini, Serikali imevitaka Vyombo vya
Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali za Mitaa, Vijiji kudhibiti
Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya miaka 18, ambapo ili msichana
aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini anatakiwa kupewa kibali cha
Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili aweze kusafiri. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimsikiliza Mratibu wa
Mradi wa Shirika la Kiwohede, Lulu Makwale (kushoto) akitoa maelezo ya
utekelezaji wa Mradi wa kupinga usafirishaji haramu wa watoto katika
Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa
Binadamu Duniani, uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, jijini Dodoma,
leo. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini, Serikali imevitaka
Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali za Mitaa, Vijiji
kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya miaka 18, ambapo ili
msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini anatakiwa kupewa kibali
cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili aweze kusafiri. Kulia
ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, Wapili kushoto ni
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Wahamaji (IOM), Qasim Sufi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima,
wakati alipokuwa anawasili Hoteli ya Nashera jijini Dodoma, leo, katika
Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya
Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu
nchini, Serikali imevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na
Serikali za Mitaa, Vijiji kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini
ya miaka 18, ambapo ili msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali
nchini anatakiwa kupewa kibali cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au
Kijijini ili aweze kusafiri. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (watatu kushoto),
akimsikiliza Mwandishi wa Habari, Benjamin Mzinga, alipokuwa
anawasilisha ripoti maalumu ya uchunguzi inayohusu Biashara Haramu ya
Usafirishaji wa Binadamu katika Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara
Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani, iliyofanyika Hoteli ya
Nashera, jijini Dodoma, leo. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini,
Serikali imevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali
za Mitaa, Vijiji kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya
miaka 18, ambapo ili msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini
anatakiwa kupewa kibali cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili
aweze kusafiri. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Serikali, Mashirika na Wadau wa
Maendeleo katika Mkutano wa Kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu
ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani, uliofanyika katika Hoteli ya
Nashera, jijini Dodoma, leo. Watatu kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa
Shirika la Kimataifa la Wahamaji (IOM), Qasim Sufi, na wanne kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...