Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ( katikati)
akionesha nembo ya Muhuri wa Usalama wa wasafiri iliyotolewa kwa
Tanzania na Baraza la Wasafiri na Utalii Duniani (WTTC) leo jijini Dar
es salaam. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Msanii wa Muziki wa
kizazi kipya Diamond Platinum na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya
Utalii Tanzania, Richard Rugimbana.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ( katikati)
akisalimiana na Mwanamuziki Zuchu wakati wa uzinduzi wa matumizi ya
nembo ya Muhuri wa Usalama wa wasafiri iliyotolewa kwa Tanzania na
Baraza la Wasafiri na Utalii Duniani (WTTC) leo jijini Dar es salaam.
Kulia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Utalii Tanzania, Richard
Rugimbana.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ( kulia) akisalimiana
na Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Harmonize (kushoto) wakati wa
uzinduzi rasmi wa matumizi ya nembo ya Muhuri wa Usalama wa wasafiri
iliyotolewa kwa Tanzania na Baraza la Wasafiri na Utalii Duniani (WTTC)
leo jijini Dar es salaam.












Picha/ Aron Msigwa – WMU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...